
Moja ya
kilio cha mtanzania mmoja katika
hospitali Fulani (jina kapuni) alizungumza na E Gossip 5 na kusema haya ya
moyoni mwake,
Serikali
inabidi ipige marufuku hawa manesi wa Hospitali za umma kuvaa magauni mafupi
wanawatia majaribuni wagonjwa wa kiume. Yaani unakuta nesi anaenda kumhudumia
mgonjwa kavaa gauni fupi ana guu la maana laini linang'aa. Sasa huku ni kuwapa
majaribu wagonjwa wetu ukizingatia wagonjwa wengine wamekaa hospitali miezi
mingi wana ukame.
Wewe mpenzi
wa blog hii ya jamii toa maoni yako juu ya kilio hiki Je? Ni kweli manesi
wanakiuka taratibu na maadili ya kazi yao?
Post a Comment