
Kwa hali isotarajiwa na Bila kufahamika chanzo ni nini
taarifa zisizo rasmi zimetrend katika mitandao ya kijamii zikidai kuwa mkongwe
wa filamu hapa nchini King Majuto amefariki dunia kwa ajali ya gari.
Mwanahabari mchachari na mtangazaji wa Clouds Soudy Brown
akaona sio kesi, akaamua kumvutia waya Mzee Majuto na kujua undani wa taarifa
hizo. King Majuto amefunguka kuwa sio mara ya kwanza kwa yeye kuzushiwa kifo,
ila tu anashangaa ni kwanini hali hiyo inajirudia mara kwa mara kwa upande
wake.
Pia aliwatanka mashabiki wake na watanzania kwa ujumla kua
yeye ni mzima wa afya na hana tatizo lolote isipokua kuna watu wana kamtima
nyongo ambao hawataki mambo yake waende, alikemea Mzee majuto.
Post a Comment