Mmoja kati ya ma-video Qeen wakali na wanaokiki zaidi hapa TZ
ni huyu hapa Amber Lulu, mrembo ambaye amefanikiwa kujizolea umaarufu mkubwa
kutokana na picha zake za mitego katika mitandao.
Mrembo Amber Lulu amewaacha watanzania na mashabiki wake wengi
mdomo wazi baada ya kufunguka kuwa amewahi kubeba ujauzito wa msanii mkali wa
Bongo Fleva Barnaba Classic ila kwa bahati mbaya ujauzito huo uliharibika.
Amber amefunguka hayo na kudai kuwa hakuwa na nia ya kuitoa
mimba hiyo bali alitaka kujifungua ila kwa bahati mbaya ikaharibika.
Post a Comment