
Kwa jina anajulikana kama Mark Zuckerberg Chaiman, CEO and Co-founder wa Social media Network
ijulikanayo kama Facebook. Akieleza jinsi anavyoutumia muda wake kuwekeza
katika utajiri wake lakini kuna wakati inampasa kukaa na mama watoto wake Pricilla Chan.
Wanasema Mabilionea wengi huwa hawana muda wa kufanya vile
vitu vya nyumbani sababu wanatumia muda wao mwingi sana kusafiri na kufanya
kazi, lakini kwa Mmiliki wa Facebook ni kwamba huwa hatoi picha za kila siku
lakini huwa anaingia jikoni mara kwa mara.
Bilionea Mark Zuckerberg ambaye mara nyingi huonekana amevaa
Tshirt ya aina moja wakati wote, ametuonyesha picha akiwa jikoni anamsaidia mke
wake kupika na kazi nyingine za jikoni.
Hapo umejifunza nini wewe binafsi katika maisha yako ya
mahusiano hasa kwa wale wanoishi pamoja na wapenzi/wake/waume zao?
Post a Comment