
azama video mpya ya staa wa RnB Tanzania Ben Pol ambae round hii yuko na Mnigeria Mr Eaz kwenye single inaitwa ‘Phone‘ ambayo audio yake aliiachia January 2017.
Ukishatizama nakuomba ucomment hapa chini kumsupport Mfalme wa R & B Tanzania
Pia tupia rank yako E GOSSIP 5
Post a Comment