
Kama Hujaipata Hii kuna video ya ngono inasambazwa nawatu katika
mitandao ya kijamii hasa whatsapp wakimfananisha Star wabongo movie Elizabeth
Michael (LULU) kwamba ni yeye aliefanya uchafu huo
Majibu ya Lulu ni haya >>> ‘haijanishtua kwa sababu
watu ndio wanaona lakini mimi sioni hata ishara moja ya kufanana nae, watu
wangu wa karibu wengi wanaonijua wanaweza wakaona hilo, watu wa karibu
wangenikomalia kwamba ni mimi ningeumia kichwa’
Kauli ya Egossip5 inawaonya watu kuendelea kuisambaza video
hio kwa sababu ni udhalilishaji wa kijinsia na kama tunavyoelewa kwamba TCRA na
serikali ilikwisha kataza mambo kama haya.
Post a Comment