Baada ya serikali
kutangaza kua itatoa tani millioni moja na nusu (1.5millioni).
Zitto Kabwe
mbunge wa Kigoma Mjini asema Serikali ya CCM ikinionyesha tani 1.5m za chakula
ambazo inataka kusambaza najiuzulu Ubunge mara moja.
Narudia,
mpaka Oktoba 2016 kulikuwa na nafaka tani 90,400 tu Hivi kwenye maghala yote ya
NFRA.
Tunashukuru
kuwa Hivi sasa ajenda ya tishio la njaa inapata majawabu na matamko. Ndio
wajibu wa vyama vya siasa. Kuibua masuala muhimu kwa nchi yetu.
Nimesikia
Mwenezi wa CCM ameongea na waandishi Leo. Natarajia ndugu Ado Shaibu
atamkaribisha mwenzake ulingoni
Post a Comment